Skip to main content
Skip to main content

Shule za sekondari zatishiwa kufungwa kwa kukosa pesa mihula miwili sasa

  • | Citizen TV
    386 views
    Duration: 3:32
    Shule za sekondari nchini zinakabiliwa na hatari ya kufungwa baada ya serikali kuchelewesha fedha za kuendesha shughuli za masomo kwa mihula miwili sasa. Wakuu wa shule sasa wanahofia kuwa huenda wakalazimika kuwarejesha wanafunzi nyumbani iwapo serikali haitasambaza pesa hizo haraka iwezekanavyo