23 Oct 2026 1:42 pm | Citizen TV 806 views Duration: 1:40 Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) inataka kuweka msingi wa kisheria utakaounganisha tija na utendaji kazi, ili serikali iweze kutambua na kuwazawadia wafanyakazi kulingana na utendakazi wao.