22 Oct 2026 10:35 am | Citizen TV 905 views Duration: 1:12 Tamasha la Vijana Nandi limezinduliwa rasmi mjini Mosoriot, ikifungua fursa kwa vijana kuonyesha vipaji, ubunifu na ujuzi wao wa ujasiriamali.