Skip to main content
Skip to main content

UASU na KUSU tawi la Rongo zataka bunge likatae mswada wa ufadhili wa vyuo vikuu

  • | Citizen TV
    358 views
    Duration: 1:51
    Miungano wa wafanyakazi wa vyuo vikuu UASU na KUSU tawi la Rongo inataka bunge la taifa kukataa mswada uliopendekezwa wa uwekaji na ufadhili wa vyuo vya elimu ya juu wakisema kuwa mswada huo utadhoofisha elimu ya vyuo vikuu.