Skip to main content
Skip to main content

Uchumi wa Kenya umekuwa kwa asilimia 5.1 katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka huu

  • | KBC Video
    261 views
    Duration: 2:42
    Uchumi wa Kenya umekuwa kwa asilimia 5.1 katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka huu kutoka asilimia 4.9 mwaka 2025, licha ya changamoto za kawi na usambazaji bidhaa. Takwimu za kila robo ya mwaka kutoka shirika la takwimu nchini zimeonyesha kuwa ukuaji huo umepigwa jeki na teknolojia ya habari na mawasiliano, sekta ya ujenzi na uchukuzi. Haya yanajiri huku takwimu kutoka shirika la kimataifa la fedha zikionyesha kwamba Kenya imepita Ethiopia na kuwa taifa nambari saba yenye uchumi mkubwa barani Afrika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive