- 1,797 viewsDuration: 1:55Uchunguzi wa maiti ya mwanafunzi wa chuo cha KMTC aliyesukumwa kutoka kwenye gari la abiria la kampuni ya NICCO kwenye barabara kuu ya Thika umebaini kuwa alifariki kutokana na majeraha mabaya mwilini pamoja na kuvunjika viungo kadhaa.