Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa kiwanda cha oksijeni ya matibabu uko katika hatua za mwisho za kukamilika

  • | KBC Video
    150 views
    Duration: 1:17
    Ujenzi wa kiwanda cha oksijeni ya kutumika kwa huduma za matibabu kwa thamani ya shilingi bilioni 5.2, uko katika hatua za mwisho za kukamilika. hatiua hiyo inatarajiwa kuongeza zaidi ya mara mbili upatikanaji wa oksijeni nchini Kenya na kupunguza uhaba unaoshuhudiwa kwa sasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive