6 Jun 2026 7:53 pm | Citizen TV 5,988 views Duration: 1:31 Baada ya kukwama kwa zaidi ya miaka 13, ujenzi wa uwanja wa Mombasa uliohusubiriwa kwa muda mrefu hatimaye umerejea rasmi na kurudisha matumaini miongoni mwa wadau wa soka eneo la Pwani.