- 166 viewsDuration: 20:10Wanafunzi milioni 1.13 kujiunga na shule za upili muhula huu Wazazi wakanganyika kuhusu shule waliziochaguliwa wanawao Wizara ya elimu yalaumiwa kwa kutotoa maelezo kamili Walimu wa jss walalamikia kutokuwepo kwa muundomsingi Vyama vya walimu vyasisitiza mabadiliko yanahitajika