Skip to main content
Skip to main content

Ulimwengu wadhimisha siku ya walemavu huku changamoto zikibaki

  • | Citizen TV
    342 views
    Duration: 2:49
    Kenya leo imejiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya walemavu duniani huku walemavu wakidai uwakilishi wao kwenye nyadhifa za maafisa wakuu serikali. Baadhi ya waliozungumza kwenye maadhimisho huko makueni wakitaka mlemavu kuteuliwa kuwa waziri ili kuondoa unyanyapaa. Aidha, wanadai kuangaziwa upya kwa huduma za walemavu nchini.