Skip to main content
Skip to main content

Upinzani waahidi kushirikiana kumng’oa Ruto mwaka 2027

  • | Citizen TV
    4,055 views
    Duration: 2:22
    Viongozi wa upinzani wakiongozwa na kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka, leo walikuwa katika Kaunti ya Kitui ambako walisisitiza kuwa watashirikiana kuhakikisha wanamuondoa mamlakani Rais William Ruto mwaka ujao. Katika Kaunti hiyo ya Kitui, Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna aliendeleza siasa sawa, akipigia debe Linda Mwananchi. Maryanne Nyambura anaarifu zaidi.