Skip to main content
Skip to main content

Usaili wa mabalozi waliopendekezwa wang’oa nanga

  • | KBC Video
    82 views
    Duration: 3:26
    Waliopendekezwa kuwa mabalozi wamelitaka bunge kuongeza mgao unaotengewa mabalozi ili kuwezesha kusaidia kutangaza bidhaa na huduma za Kenya katika nchi wanakohudumu kwa ufanisi. Mwenyekiti wa tume ya utumishi wa umma Anthony Muchiri aliyependekezwa kuwa kuwa balozi wa Kenya huko Uturuki na aliyekuwa waziri Florence Bore,waliilambia kamati ya bunge kuhusu ulinzi na mashauri ya kigeni kuwa, lengo lao kuu litakuwa diplomasia ya kiuchumi, jukumu walisema linahitaji mgao wa kutosha wa kifedha. Na kama anavyoripoti mwanahabari wetu Gichuki Wachira, wengine watatu waliopendekezwa kuwa mabalozi pia walifika mbele ya kamati hiyo, kutetea ufaafu wao kuiwakilisha Kenya katika wadhifa wa balozi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive