10 Aug 2026 1:11 pm | Citizen TV 366 views Duration: 59s Usalama umeripotiwa kuimarishwa katika mpaka wa Nkaararo na Enoretet eneobunge la Transmara kaunti ya Naok, ambako mtu mmoja aliuawa jumamosi usiku kwenye mapigano ya punde zaidi eneo hilo.