- 229 viewsDuration: 2:39Mbali na kupunguza matozo kulingana na mshahara wa mtu (PAYE) kwa wale wanaolipwa hadi shilingi elfu 32 kwa mwezi, Rais William Ruto amepunguza zaidi ushuru kwa wanaonunua ardhi na simu za mkononi na pia kuongeza idadi ya mahafala katika mpango wa uanagenzi hadi elfu 50 kuanzia mwezi Januari mwaka ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive