- 265 viewsDuration: 2:05Wasimamizi wa manispaa ya Nanyuki wakishirikiana na maafisa wa trafiki mjini humo wameanza shughuli ya kuwahimiza wamiliki wa bodaboda kutoa mataa yanayotoa mwangaza mkali na kurekebisha pikipiki zao dhidi ya kutoa kelele wakisema mataa haya na kelele zinawasumbua wakazi.