Wakenya kutoka tabaka mbalimbali walijitokeza kwa wingi katika uwanja wa Kipchoge Keino mjini Eldoret, kaunti ya Uasin Gishu kwa ajili ya maadhimisho ya 63 ya sikukuu ya Mashujaa, baadhi yao wakisema walikesha uwanjani humo ili kujipatia nafasi. Wale waliokosa kuingia uwanjani walifuatilia sherehe hizo kupitia rununu zilizowekwa nje ya uwanja na mjini Eldoret, huku wengine wakiruhusiwa kuingia baada ya kipindi cha burudani.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive