Vijana wanaofaidi na mpango wa uwezeshaji vijana kiuchumi wa NYOTA katika Kaunti ya Mandera wamefichua kupanua biashara zao baada ya kupokea awamu ya pili ya ufadhili jana. Miongoni mwao ni Shaban Adan, ambaye alitumia mgao wa kwanza kuanzisha ufugaji wa mbuzi ili kukabiliana na ukame wa mara kwa mara eneo hilo
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya