- 1,725 viewsDuration: 4:43Zaidi ya shilingi Milioni 700 zilitolewa leo kwa zaidi ya vijana elfu 14 katika kaunti za Nairobi, Kajiado na Kiambu chini ya mpango wa kitaifa wa fursa kwa vijana kujiendeleza almaarufu - NYOTA. Rais William Ruto ambaye aliongoza shughuli hiyo kwenye uwanja wa michezo wa kimataifa wa Kasarani, alisema mpango huo unawalenga vijana wenye umri wa kati ya miaka 19 na 29, na unanuiwa kuongeza fursa za upatikanaji wa mtaji na kuharakisha ukuaji wa biashara zinazoongozwa na vijana. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive