23 Oct 2026 1:22 pm | Citizen TV 708 views Duration: 1:41 Vijana nchini Kenya sasa wanageukia mafunzo ya ufundi ili kuongeza nafasi zao za kuajiriwa, huku kukiwa na ongezeko la ukosefu wa ajira na uhitaji mkubwa wa wafanyakazi wenye ujuzi katika sekta ya ujenzi na viwanda.