15 Sep 2026 1:34 pm | Citizen TV 619 views Duration: 1:30 Vijana kote nchini wamehimizwa kupanda miti ya matunda katika shule kama sehemu ya juhudi za kuongeza lishe ya watoto na kuimarisha kinga yao ya mwili.