- 206 viewsDuration: 1:43Rais William Ruto ameongoza mpango wa kutoa pesa za mtaji wa biashara kwa vijana katika mradi wa nyota kaunti ya Samburu. Mpango huu unalenga kuwapa vijana shilingi elfu 50 za kuanzisha biashara ndogondogo ili kuwawezesha kiuchumi.