Skip to main content
Skip to main content

Vijana washauriwa kuchukua vitambulisho ili wapate huduma

  • | Citizen TV
    114 views
    Duration: 1:06
    Katibu katika idara ya uhamiaji Belio Kipsang amewahumiza machifu katika kaunti ya Tana River kuhakikisha wale wasio na vitambulisho wameandikishwa ili kunufaika na miradi na huduma za serikali.