- 94 viewsDuration: 1:26Muungano wa vijana wasomi maarufu kama etenje comrades kutoka wadi ya etenje eneo bunge la Mumias Magharibi kaunti ya Kakamega, wamewashauri vijana wenzao kuwa waangalifu na wanasiasa wasiokuwa na maono ya maendeleo katika jamii.