9 Jun 2026 10:56 am | Citizen TV 3,081 views Duration: 2:36 Jamaa na marafiki wa vijana watatu waliouawa mjini Machakos wakusanyika na kuwasha mishumaa kuwakumbuka vijana hao. Watatu hao wapoteza maisha yao chini ya mazingira yasiyoeleweka huku uchunguzi waendelea.