- 705 viewsDuration: 2:37Huku matukio ya matumizi ya makundi ya wahuni katika majukwaa ya kampeni za siasa yakiendlea kuzua wasiwasi nchini, vuguvugu la vijana linaloitwa 'sitatimika' limezindua rasmi mchakato wa kuhamasisha umma dhidi ya wanasiasa kutumia vijana kuzua rabsha.