- 318 viewsDuration: 3:28Kamati ya bunge kuhusu fedha yarejelea vikao vya umma kuhusu mswada wa fedha wa mwaka 2026/2027 katika kaunti ya mombasa. Wakazi waliofika waelezea wasiwasi kuhusu kuongezwa kwa ushuru wakisema wakenya wabeba mzigo mzito wa gharama ya juu ya maisha. Wakazi pia wapinga ushuru wa simu za rununu, ardhi na umiliki wa nyumba wakisema Pwani yakumbwa na ukosefu wa hati miliki.