Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Nyandarua wataka ushirikiano katika vita dhidi ya pombe haramu

  • | Citizen TV
    371 views
    Duration: 1:34
    Gavana wa Nyandarua, Dkt. Kiarie Badilisha, na Kamishna wa Kaunti, Abdirasaak Jaldesa, wametoa wito wa ushirikiano katika kupambana na uuzaji pamoja na unywaji wa pombe haramu ndani ya kaunti hiyo.