Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Serikali Mseto waahidi kuungana katika uteuzi

  • | Citizen TV
    533 views
    Duration: 1:46
    Viongozi wa Serikali Mseto wamesema wataungana katika mchakato wa uteuzi wa viongozi. Wamesisitiza umuhimu wa ushirikiano katika kuhakikisha uteuzi huo unafanyika kwa pamoja.