14 Sep 2026 1:23 pm | Citizen TV 613 views Duration: 2:08 Viongozi wa Ukambani wamekemea vurugu za kisiasa na kutaka hatua zichukuliwe dhidi ya wote watakaohusika katika vitendo vya fujo na ghasia za kisiasa.