Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wahimiza mashauriano baina ya MCA na Gavana Sakaja

  • | KBC Video
    233 views
    Duration: 3:03
    Wabunge wanne wa kaunti ya Nairobi, wamemtaka gavana Johnson Sakaja na wawakilishi wadi wa bunge la Nairobi kutumia muda wa siku sitini walizoafikiana wakati walipokutana na rais William Ruto na kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga, kusuluhisha mzozo uliopo kupitia mazungumzo. Kadhalika Wabunge hao wametahadharisha kuwa mzozo wowote kati ya pande husika huenda ukalitumbukiza jiji La Nairobi katika zogo la uongozi na kuathiri utoaji huduma. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive