Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wakemea visa vya uhuni kwenye mikutano ya kisiasa

  • | Citizen TV
    1,173 views
    Duration: 2:15
    Wito umetolewa kwa wanasiasa kuwa na uvumilivu na kutoa nafasi kwa kila anayetaka kufanya kampeni zake kufanya hivyo bila kuvamiwa au kuingiliwa kwa kutumia wahuni. Wakizungumza kwenye ibada ya wafu ya mbunge wa zamani wa Lugari Burudi Nabwera, viongozi hao wamekashifu visa vya uhuni vinavyoshuhudiwa kwenye mikutano ya kisiasa.