3 Sep 2025 1:09 pm | Citizen TV 438 views Duration: 3:13 Wakazi wa Logetei Samburu kaskazini wameonywa dhidi ya kuwaoza Binti zao mapema kuwa chuma chao kimotoni. Wakazi hao wamekiri Mila hiyo huzima Ndoto za wasichana wengi wachanga eneo hilo,