Skip to main content
Skip to main content

Vizingiti vya ushuru

  • | Citizen TV
    299 views
    Duration: 1:50
    Mwenyekiti wa bodi ya mamlaka ya ukusanyaji ushuru Kenya (KRA), Ndiritu Muriithi, asema kuwa kiwango cha chini cha ulipaji ushuru katika baadhi ya sekta kinachangiwa na gharama kubwa za kutimiza masharti ya ushuru.