Skip to main content
Skip to main content

Vurumai yashuhudiwa wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kifo cha Raila

  • | KBC Video
    10,615 views
    Duration: 1:51
    Vurumai ilishuhudiwa wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kifo cha Raila Odinga huko Bondo, kaunti ya Siaya, huku umati ukitaka kujua sababu ya kutohudhuria kwa kiongozi wa chama cha ODM, Oburu Oginga. Watu kadhaa waliozungumza, wakiongozwa na mjane wa Raila, Ida Odinga, walilazimika kutuliza umati mara kwa mara na kutoa hakikisho ili shughuli hiyo iweze kuendelea. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive