- 20,439 viewsDuration: 3:49Kinara wa ODM Oburu Oginga ametoa hakikisho kuwa chama hicho hakiwezi kuwafurusha viongozi wa chama ambao wanaonekana kupinga maamuzi ya chama. Akizungumza kaunti ya kisii, oburu amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na chama cha uda kwa minaajili ya kuunda muungano wa uchaguzi wa mwaka wa 2027. Gavana wa siaya James Orengo ameongoza kundi la viongozi wenye msimamo kinzani wa ODM katika eneo la Kawangware ambapo walishinikiza ni lazima mkutano mkuu wa chama hicho wa NDC kufanywa.