Skip to main content
Skip to main content

Vyama vya kisiasa vyatakiwa kuandaa michujo wazi na ya haki

  • | KBC Video
    308 views
    Duration: 1:25
    Wawaniaji nyadhifa za uwakilishi katika kaunti ya Nairobi wanatoa wito wa uwazi na haki katika mchujo wa vyama vya kisiasa mashinani. Katika kaunti ya Nairobi, wafuasi wa Agnes Kagure ambaye ameeleza ari ya kuwania ugavana wanataka upinzani uandae mchujo wa haki la sivyo watagura na kujiunga na mrengo tofauti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive