Skip to main content
Skip to main content

Waandamanaji 31 waliokamatwa wakati wa maandamano ya kupinga ujenzi wa karantini Nanyuki waachliwa

  • | Citizen TV
    1,763 views
    Duration: 2:11
    Washukiwa 31 waliokamatwa wakati wa maandamano ya kupinga ujenzi wa karantini ya wagonjwa wa Ebola yaliyofanyika Jumatatu mjini Nanyuki wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi 10,000 kila mmoja.