Skip to main content
Skip to main content

Wadau wa elimu Kisii watoa wito wa uhisani kwa wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia

  • | KBC Video
    130 views
    Duration: 1:54
    Wadau wa elimu katika kaunti ya Kisii wametoa wito kwa viongozi na wahisani kuwasaidia wanafunzi wa shule ya Kerina ya wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia iliyoko katika wadi ya Riana, eneo la Bonchari, wakitaja uhaba wa maji na miundombinu duni kama changamoto kuu Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive