- 504 viewsDuration: 1:41Wadau katika sekta ya elimu kutoka Kitutu Chache North kaunti ya Kisii wanazidi kuelezea wasiwasi wao kuhusu visa vya watoto wavulana kuacha shule kutokana na ukosefu wa karo na kisha kujiingiza katika uraibu wa dawa za kulevya.