21 Oct 2026 2:00 pm | Citizen TV 967 views Duration: 1:55 Wadau wa elimu na wazazi katika shule ya St. Dorcas Special School iliyoko eneo bunge la Mosop, Kaunti ya Nandi, wameitaka serikali kuboresha miundombinu ya shule hiyo inayohudumia watoto wenye mahitaji maalum,.