3 Sep 2025 10:21 am | Citizen TV 330 views Duration: 1:32 Serikali ya kaunti ya Kajiado imetoa ilani ya siku Saba kwa wafanyabiashara katika miji ya GP, kiserian na kibiku kajiado magharibi, ya kuondoa vibanda vilivyo nje ya maduka yao kwani viko katika maeneo ya barabara