Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi wa kaunti ya Busia waandamana wakidai kutolipwa mishahara kwa miezi tisa

  • | KBC Video
    65 views
    Duration: 1:54
    Wafanyakazi zaidi ya 60 walioajiriwa na serikali ya kaunti ya Busia kunadhifisha miji wamegoma na kuandamana kuelekea ofisi ya Seneta Okiya Omtata wakidai hawajalipwa mishahara kwa muda wa miezi tisa iliyopita. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive