Iwapo unapokea mshahara wa shilingi elfu 32,333 au kiasi cha chini ya hiki kwa mwezi, utabahatika kutolipa matozo kwa mujibu wa kiwango cha mshahara wako yaani (PAYE). Rais William Ruto amesema hatua hii na hatua nyingine za kupunguza ushuru ni mpango unaolenga kuimarisha uchumi kwa wakenya. Huku ripota wetu Abdiaziz Hashim akisimulia, uwezekano wa hatua hii hata hivyo utategemea iwapo bunge litaidhinisha pendekezo hilo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive