16 Jan 2026 10:45 am | Citizen TV 331 views Duration: 1:24 Wafanyibiashara katika mji wa Kitale wameelezea wasiwasi wao mkubwa kufuatia madai kwamba hatua ya watu wachache kutwaa shamba la Shirika la Reli katikati ya mji imefanyika bila ushirikishwaji wa umma unaotakiwa kisheria.