Skip to main content
Skip to main content

Wagonjwa wa nasuri wataka matibabu nafuu mashinani

  • | Citizen TV
    215 views
    Duration: 3:46
    Kina mama ambao wana tatizo la nasuri( Fistula) kutoka mashinani wazidi kuIrai serikali kutoa huduma za kurekebisha waathiriwa katika hospitali za umma kwa gharama ya chini. Drusilla Ouma , mama ambaye ameishi na tatizo hilo tangu mwaka 1974 baada ya kufanyiwa upasuaji miaka 5 iliyopita sasa awaokoa kina mama ambao pia waathirika na FISTULA na kuwaaunganisha na wataalamu ili kuzidisha heshima zao katika jamii.