- 231 viewsDuration: 1:26Washirika wamaendeleo na mashirika ya utoaji msaada wa kibinadamu wamehimizwa kuongeza usaidizi wa matibabu ya macho kwa waathiriwa wa changamoto hizo katika kaunti ya Garissa. Wito huo ulitolewa wakati wa huduma za uchunguzi, upasuaji na matibabu bila malipo zilizotolewa kwa wagonjwa kwenye hospitali ya Garissa Level 5 kwa hisani ya mashirika ya utoaji misaada na benki moja ya humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive