- 252 viewsDuration: 1:25Huduma za matibabu katika hospitali ya Trannsmara West mjini Kilgoris zimetatizika pakubwa baada ya usimamizi wa hospitali hiyo kuamua kuifunga ghafla kufuatia tukio la uvamizi wa wahudumu wa afya usiku wa kuamkia jumatano na kuacha maafisa wa afya na majeraha.