22 Oct 2026 10:09 am | Citizen TV 583 views Duration: 1:40 Chama cha wahadhiri wa vyuo vikuu tawi la Machakos kimeanzisha maandamano mapya, wakati huu dhidi ya baraza la chuo kikuu cha machakos kwa madai ya kushindwa kuheshimu mkataba wa makubaliano CBA kwa takriban miaka saba.