Skip to main content
Skip to main content

Wahalifu wasakwa Kaskazini Mashariki

  • | Citizen TV
    2,889 views
    Duration: 58s
    Naibu Inspekta jenerali wa polisi Eliud Lagat amesema idara ya usalama imejitolea kumaliza kabisa magenge ya wahalifu katika maeneo ya Pwani na Kaskazini Mashariki. Akizungumza na wanahabari katika kituo cha polisi cha Madogo baada ya kushuhudia kufuzu kwa askari 482 wa akiba, Lagat alisema zoezi la kutwaa silaha haramu kwa lazima litaanza baada ya siku sitini za kuzisalimisha kwa hiari kuisha.