13 Jan 2026 2:00 pm | Citizen TV 246 views Duration: 1:15 Serikali imetakiwa kuongeza mgao wa pesa kwa wazee kutoka shilingi alfu mbili hadi shilingi alfu kumi ili kukidhi mahitaji ya wazee hao kutokana na gharama ya juu ya maisha.